Uliandaliwa kuwa MASIKINI 👇 >> Tabia zako >> Imani zako >> Ujuzi… — Manuva max — TG.ME

Uliandaliwa kuwa MASIKINI 👇

>> Tabia zako
>> Imani zako
>> Ujuzi wako
>> Haiba yako
>> Chakula chako
>> Huduma za kijamii

Ili kuvua gundu la umasikini unatakiwa kwenda kinyume na hivyo VIFUNGO hapo ILI kuwa mtu mpya.

Ama kwa lugha rahisi.

WEWE WA SASA HUNA UWEZO WA KUTOBOA. Iko hivyo.

Ukitaka kutoboa. Nenda badili hayo mambo 6.

#WEWENIMGODI
February 28, 2025 421