Kanuni Za kuzifuata
Ili Ukitrade News *BROKER* Asikunyime withdrawal
1.Fungua account week kadhaa kabla ya week ya News
2.Deposit na uanze Kutrade kwa mwendelezo ili kutengenza history na broker sio unakuja siku ya news na kuondoka
3.Siku Ya News ikifika Usitengeneze pesa nyingi Sana kwa Mtaji mdogo at least mausozidi mala Tano ya capital mfano deposit 100 kisha Tengeneza 500$
Ukizidi hapo Kuna mawili upewe pesa yako au broker akunyime uishie kujisifia tu
4.Baada Ya kupiga profit Usitoe sababu broker ataona kama umekuja kuchukua pesa na kuondoka . chakufanya acha kama week Moja au mbili huku ukiendelea Kutrade Taratibu Kisha Anza withdrawal kidogo kidogo sio Zote kwa pamoja
Nakufundisha haya kwa experience ya 3 years
Broker wengi sana wamenifungia Account na kuninyima withdrawal sababu nilikuwa sielewi mambo
*Note*
Broker wote duniani wanachukia ukimake profit Asikudanganye mtu ata siku moja
Na pesa iliko kwa broker kama haijaingia mpesa au mikononi mwako sio yako maana kesho unaweza ukaamka ukakuta wamekufungia account
August 3, 2026 203