NAMNA YA KUFANYA MULTI-TIME FRAME ANALYSIS Ukitaka kuwa profitable trader lazima uchambue soko kuanzia time-frame kubwa kuja ndogo, hii ni muhimu ili kujua direction ya soko, muundo wa soko na sehemu ya kuingilia sokoni (Entry). Hii inaitwa Top down analysis Nimekuchambulia hapa time-frame za muhimu na nini cha kuchukua kwenye kila time-frame ⚡4H - Hapa tunapata picha kubwa ya soko. Tunapata uelekeo (direction), level za muhimu (key levels), pamoja na supply and demand levels. ⚡1H - Huonyesha muundo wa soko (yaani structure), reversals, order blocks, gap za muhimu pamoja na breakout za kupanda au kushuka kwa soko. ⚡15m - Hapa ndipo tunapata timing ya sehemu za kuingilia sokoni. ( liquidity grabs sokoni) Usipozingatia mojawapo ya hizo time-frame, either hutaelewa picture kubwa ya soko au utakosa sehemu sahihi ya kuingilia na utafeli sokoni. @TanzatoChannel ✍Sharing Is Winning🏆
NAMNA YA KUFANYA MULTI-TIME FRAME ANALYSIS Ukitaka kuwa profitable… — TANZATO CHÀNNÈL 🇹🇿 — TG.ME
September 23, 2025 710 7